HABARI MPYA

Saturday, 12 April 2025

TRANSFORM YOUR LEADERSHIP JOURNEY WITH MWALIMU JULIUS NYERERE LEADERSHIP SCHOOL

 Embark on a transformative leadership journey at the Mwalimu Julius Nyerere Leadership School. Rooted in the timeless values of integrity, unity, and service, our programs are designed to nurture visionary leaders who are ready to shape the future of Africa.Whether you're an aspiring leader or...

TUGHE TCAA YAPONGEZWA KWA USHIRIKIANO IMARA; YASISITIZWA KUHAMASISHA UANDIKISHAJI WA WANACHAMA WAPYA

Naibu Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Ndg. Amani Msuya akizungumza wakati wa ufunguzi wa  mkutano mkuu wa mwaka wa cha Chama cha Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) uliofanyika jijini DodomaViongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali...

Friday, 11 April 2025

JIHADHARI NA HIZI KAULI 10 MBAYA KUTAMKA KWA MWENZA WAKO

Mojawapo ya nguzo kuu kabisa ya mahusiano mazuri ni mawasiliano. Mawasiliano mazuri yanahusisha vitu viwili vikubwa, kuwa na ujumbe wa kusema na namna ya kusema ujumbe wako. Maneno ni kitu hatari sana katika mahusiano yakitumiwa vibaya na yakitumika vizuri ni nguzo kubwa ya mahusiano...

Thursday, 10 April 2025

WATUMISHI WA TCAA WAPONGEZWA KWA BARAZA LA WAFANYAKAZI LENYE TIJA

Msajili wa Hazina, Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la TCAA wakati wa kufungua kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Takwimu House Dodoma.Watumishi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) wamepongezwa kwa kuwa moja ya taasisi za umma...

Wednesday, 9 April 2025

JIFUNZE JINSI YA KUISHI NA FURAHA MAISHANI MWAKO

Mpendwa msomaji wa FUNGUKA LIVE ikiwa tunaelekea tamati ya mwaka wa 2016 nimeguswa kuandika makala hii muhimu kwani naamini tangu tuuanze huu mwaka tayari tumepita katika hali tofauti na sasa ni vyema kabla ya mwaka kuisha (kwa Neema Za Mungu) tukajifunza hili. Leo tutaangalia jinsi inavyokupasa...

Wednesday, 26 March 2025

TCAA Yatoa Msaada kwa Watoto Yatima wa Kituo cha ZASO Zanzibar

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Salim Msangi akikabidhi mkono wa Sikukuu ya Eid kwa mlezi wa Kituo cha Kulea Watoto Wenye Mazingira Magumu cha ZASO wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na TCAA.Zanzibar, Machi 25, 2025 – Katika kuadhimisha mchango...

Tuesday, 25 March 2025

JK AWASILISHA UJUMBE MAALUMU KWA RAIS WA SENEGAL KUTOKA KWA RAIS SAMIA

 Mhe. Rais Mstaafu  Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewasilisha  ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Senegal, Mhe. Bassirou Diomaye Faye jijini Dakar.Katika mazungumzo  yao ya kirafiki, ...

OFFICIAL MEMBER

OFFICIAL MEMBER

Please Share This Site

HABARI ZETU

LIKE PAGE YETU HAPA